KARIBU KATIKA UKURASA WA TENNIS KWA KISWAHILI
Unajua nini kuhusu tennis?
unajua nini kuhusu tennis?
unajua nini kuhusu tennis?
unajua nini kuhusu tennis?
historia ya tennis part one
![]() |
| Mchezaji tennis Rafael Nadal |
Unavyovihitaji ili kuweza kucheza tennis ni:
- Kiwanja
- mchezaji mwenzako
- mpira
- racket
- mavazi
na kwa wiki ili uwe mchezaji mzuri unahitaji
- kufanya mazoezi kwa uchache mara t atu
- kuanza kushiriki mashindano
- kufanya mazoezi ya pumzi kila siku
- kutokula vyakula vya sukari sana ya kiwandani
Roger federer aliwahi kusema, huwezi kufikia kipaji cha kweli kwenye tennis mpaka ujitoe wewe mwenyewe.
April 24, 2021
Tags :
ABOUT US
,
BUY TENNIS EQUIPMENTS
,
COACHES
,
NEWS AND MEDIA
,
PROGRAMS
,
RANKINGS
,
TENNIS COURTS TZ
,
TENNIS RULES
,
TOURNAMENTS
Subscribe by Email
Follow Updates Articles from This Blog via Email

No Comments